This site uses cookies.
Some of these cookies are essential to the operation of the site,
while others help to improve your experience by providing insights into how the site is being used.
For more information, please see the ProZ.com privacy policy.
This person has a SecurePRO™ card. Because this person is not a ProZ.com Plus subscriber, to view his or her SecurePRO™ card you must be a ProZ.com Business member or Plus subscriber.
English to Swahili: Get Care for These POST-BIRTH Warning Signs General field: Medical Detailed field: Medical (general)
Source text - English SAVE YOUR LIFE:
Get Care for These POST-BIRTH Warning Signs
Learn these POST-BIRTH warning signs— knowing what to do can save your life!
POST-BIRTH WARNING SIGNS
Call 911 if you have:
Pain in chest
Obstructed breathing or shortness of breath
Seizures
Thoughts of hurting yourself or someone else
Call your healthcare provider if you have:
(If you can’t reach your provider, go to urgent care, an emergency room, or call 911)
Bleeding, soaking through one pad/hour, or blood clots, the size of an egg or bigger
Incision that is not healing
Red or swollen leg, that is painful or warm to touch
Temperature of 100.4°F or higher
Headache that does not get better, even after taking medicine, or bad headache with vision changes
Tell 911 or your healthcare provider:
“I gave birth on [date] and I am having [specific warning signs].”
place your logo here
Translation - Swahili OKOA MAISHA YAKO:
Pata Utunzaji wa Ishara Hizi za Onyo BAADA YA KUJIFUNGUA
Jifunze ishara hizi za onyo BAADA YA KUJIFUNGUA— kujua cha kufanya kunaweza kuokoa maisha yako!
ISHARA ZA ONYO BAADA YA KUJIFUNGUA
Piga simu kwa 911 iwapo:
Una maumivu kifuani
Unapumua kwa shida au unaishiwa na pumzi
Unapatwa na mpapatiko
Una mawazo ya kujiumiza mwenyewe au mtu mwingine
Pigia simu mtoa huduma wako wa afya ikiwa:
(Ikiwa huwezi kufikia mtoa huduma wako wa afya, nenda kwa huduma ya dharura, chumba cha dharura, au piga simu kwa 911)
Unatokwa na damu, inayolowa pedi moja kwa saa, au madonge ya damu, ya ukubwa wa yai au kubwa zaidi
Una mkato ambao hauponi
Mguu umekuwa mwekundu au umevimba, na unauma au una joto ukiugusa
Una halijoto ya 100.4°F au zaidi
Una maumivu ya kichwa ambayo hayaponi, hata baada ya kutumia dawa, au maumivu makali ya kichwa yanayoathiri jinsi macho yako yanavyoona
Waambie 911 au mtoa huduma wako wa afya:
“Nilijifungua mnamo tarehe [tarehe] na ninapata [ishara maalum za onyo].”
weka nembo yako hapa
More
Less
Translation education
Bachelor's degree - Moi University
Experience
Years of experience: 8. Registered at ProZ.com: May 2017. Became a member: Jun 2020.